Cardilor 200Mg
HomeCardiovascular & HypertensiveCardilor 200mg

Cardilor 200mg

Last reviewed: Jun 13, 2026
  • Formulated with cardiovascular active pharmaceutical ingredients promoting stabilized heart function.
  • Indicated for standard clinical management of hypertension and cardiac arrhythmias.
  • Administer strictly according to precise professional healthcare provider dosing directions.
SKU: 202218965
10,000Tsh/ per 200mg
1

Product description

Dawa hii ina kiungo kikuu cha dawa hii ni Amiodarone Hydrochloride 200mg.



Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kudhibiti mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida, kama vile palpitations na ventricular fibrillation (arrhythmia)
  • Kutibu shinikizo la damu katika mishipa ya mapafu (pulmonary hypertension)
  • Kutibu matatizo ya moyo yanayohusiana na umeme wa moyo (atrial fibrillation)

Zingatia Kunywa kidonge kizima cha Cardilor 200mg na maji ya kutosha. Epuka kunywa pombe wakati unatumia dawa hii kwani inaweza kuathiri uwezo wa mwili wako kuvumilia dawa hii. Usipunguze au kuongeza dozi yako bila idhini ya daktari wako.



Kuipata dawa hii:

  • Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
  • Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa

Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.

Welcome to AfyaDepo

Or continue with

If you don't have an account, one will be created automatically.

Cardilor 200Mg | AfyaDepo